Uncategorized

MTIBWA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC

admin January 30, 2020 6:22 am

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa UwanjaUhuru.

Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wanawatambua wapnzani wao watapambana kupata pointi tatu.

“Tunawatambua wapinzani wetu si timu ya kubeza ila tumejipanga kuona kwamba tunapata matoko mazuri kujiweka kwenye nafasi nzuri.

“Mashabiki wajitokeza kwa wingi kutupa sapoti tunaamini tunaweza kufanya jambo ambalo litakuwa na matokeo kwetu na mashabiki pia,” amesema.

KUMBE, KOCHA WA SAMATTA ALIJUA UWEZO WAKE UNGEFIKA UKINGONI DAKIKA HIZI, CHEKI ALICHOMWAMBIA MICAH: GUARDIOLA ALIBUGI HAPA MBELE YA MANCHESTER UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply