Uncategorized
SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGA BAO LA KUOTEA
admin
February 5, 2020
6:09 am
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wale ambao wanalalamika kwamba wamefunga bao la kuotea waripoti taarifa hiyo kituo cha Polisi wakiwa na maelezo kamili.
Ofisa Habari wa Simba Haji Manara kupitia Ukurasa wake rasmi wa Istagram ameandika namna hii:-
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.