Uncategorized

KOCHA KAGERA SUGAR ATAJA KINACHOIBEBA TIMU YAKE, AWAPA TANO WACHEZAJI

admin February 7, 2020 7:14 am


MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kinachoibeba timu yake ndani ya Ligi Kuu Bara ni juhudi za wachezaji ndani ya uwanja.

Kagera Sugar iliichapa Mwadui FC mabao 2-1 mchezo wao wa ligi uliochezwa Uwanja wa Kaitaba na kuifanya Kagera Sugar kuwa nafasi ya nne kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 19.

Maxime amesema:”Wachezaji wanafanya kazi kubwa uwanjani wanastahili pongezi kwani matokeo yanaonekana na mabadiliko makubwa yanaonekana, kwa sasa ni wakati wetu wa kuendelea kujipanga kwa ajili ya mechi zetu za mzunguko wa pili,”.

Mzunguko wa kwanza, Kagera Suga ilishinda mechi 10, sare tatu na ilipoteza mechi sita.

RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA MWINGINE YANGA, YATAKA MABAO MENGI KINOMA ISHU YA SIMBA KUSHINDA DAKIKA ZA USIKU, SVEN ATAJA SABABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply