Uncategorized

BREAKING: UCHEBE KURUDI BONGO TENA, AZUNGUMZA KUHUSU SIMBA

admin February 8, 2020 2:14 pm


PATRICK Aussems aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na kupigwa chini mwishoni mwa mwaka Jana,2019 amesema kuwa anaamini siku moja ataonana na mashabiki wake wa Simba ambao aliowaacha kwa kurudi tena Bongo.

Kwa sasa nafasi yake ipo mikononi mwa Sven Vanderbroeck ambaye jana alipoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kuanza kusimamia benchi la ufundi.

Kupitia Ukurasa wake wa Istagram, Aussems amesema kuwa amepokea meseji nyingi ambazo zinamtaka arudi ndani ya Simba jambo ambalo anaamini linaweza kutimia siku moja:-

 

VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA BARCELONA, REAL MADRID JINO KWA JINO KWA TRAORE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply