Uncategorized

KAGERA SUGAR YAANDAA DOZI KAITABA

admin February 8, 2020 8:14 am

MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagere Sugar amesema kuwa wataendelea kutoa dozi ndani ya Uwanja wa Kaitaba ili kuongeza nafasi ya kufikia malengo ambayo wamejiwekea.
Mwadui FC ya Shinyanga iliambulia dozi ya mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Kaitaba, leo Biashara United itakutana na moto wa Kagera Sugar.
Akizungumza na Saleh Jembe, Maxime amesema kuwa malengo ya timu ni kupata pointi tatu kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kulinda heshima ya timu yake.
“Ushindani ni mkubwa kwenye ligi nasi tunatakiwa kukomaa kupata ushindi, tukiwa nyumbani tunakuwa na mashabiki zetu ni muhimu kwetu kutoa dozi ambayo itatupa pointi tatu muhimu, mashabiki watupe sapoti,” amesema.
BAADA YA KICHAPO, MBELGIJI SIMBA AONDOKE TU, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI MAMBO NI MAGUMU SASA NDANI YA SIMBA, MBELIGIJI ATOA LA MOYONI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply