Uncategorized

BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA

admin February 9, 2020 9:14 am


ALISSON Becker raia wa Brazil mlinda nyavu za Liverpool amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti.

Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool.

Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil.

Inaelezwa kuwa kila siku anaonekana mazoezini kwenye timu hiyo akiwa na kakaye Muriel ambaye anaidakika timu ya Rio De Janeiro ya Ligi Kuu ya Brazil.

Mastaa wenzake wa Liverpool wengine wamekwenda Dubai kula bata.

SIMBA YENYE MAUMIVU YAIFUATA MTIBWA SUGAR YENYE HASIRA AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply