Uncategorized

HUYO RONALDO NI NOMA NDANI YA SERIA A CHEKI ALICHOFANYA

admin February 10, 2020 3:16 pm


JUVENTUS ya Cristiano Ronaldo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Seria A baada ya kucheza jumla ya mechi 23.

Ronaldo ni kinara ndani ya Ligi hiyo kwa kupiga mashuti mengi yaliyolenga lango.

Amepiga jumla ya mashuti 48 ambayo yamelenga lango na timu yake imefunga jumla ya mabao 44.

Ipo nyuma ya Inter Milan ya Lukaku kwa tofauti ya mabao manne pekee kwani wote wana pointi 54.

HAO AZAM FC WAIPANIA POLISI TANZANIA KESHO UHURU EYMAEL KUWATUMIA WACHEZAJI HAWA WATATU KUIMALIZA MBEYA CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply