Uncategorized

SINGIDA UNITED HUKO MAMBO BADO

admin February 10, 2020 11:29 am

SINGIDA United imeanza kwa kuangukia pua tena mzunguko wa pili kwa kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na Mwadui FC ya Shinyanga.
Sare hiyo inaifanya Singida United kubaki nafasi ya 20 kwenye msimamo ikiwa na pointi 11, imeshinda mechi mbili pekee na kupoteza mechi 13 na imeambulia sare tano.
Akizungumza na Saleh Jembe, Cales Katemana, Ofisa Habari wa Singida United alisema kuwa ushindani ndani ya ligi ni mkubwa jambo linalowafanya washindwe kupenya ila watapambana kutoka kwenye wakati huu mgumu.
“Kwa sasa mambo kwetu bado magumu kwani matokeo ambayo tunayapata sio yale ambayo tunayatarajia, matumaini yetu ni kwamba muda wa haya yote utakwisha na tutarejea kwenye furaha upya mashabiki watupe sapoti,” alisema Katemana.

HUYU HAPA KOCHA BORA WA MWEZI JANUARI, MZUNGU WA SIMBA NA MALALE HAMSINI WAPIGWA KIKUMBO SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply