Uncategorized

EYMAEL WA YANGA AMPA MAJUKUMU MAZITO MUIVORYCOAST

admin February 13, 2020 5:07 pm


LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amemtaka mshambuliaji wake Yikpe Gislein raia wa Ivory Coast kufunga mabao mengi.

Eymael amemtaka nyota huyo aongeze juhudi baada ya kutupia mabao mawili ndani ya Yanga.

Ametupia mbele ya Singida United wakati timu hiyo ikishinda mabao 3-1 kwenye mchezo wa ligi na alifunga bao la pili mbele ya Tanzania Prisons wakati timu yake ikishinda mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho.


“Yikpe anakaa kwenye eneo zuri na ana uwezo wa kufunga ndio maana amekuwa akifunga anapopata nafasi mimi nataka aongeze zaidi juhudi na afunge mabao mengi,” amesema.



HAWA HAPA WATAJWA KUWA KISIKI CHA MPINGO KWA LIVERPOOL EPL ZAHERA: NILIFUNDISHA NIKIWA NA NJAA YANGA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply