Uncategorized

KIDOLE CHA KATI CHAIBUA LISILOTARAJIWA KWA MCHEZAJI SINGIDA, TAMKO LATOKA TFF

admin February 14, 2020 3:37 pm

Mechi namba 197- Singida United FC 2 vs Mwadui FC 2. Mchezaji wa Mwadui Hashim Yahya Mussa amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF).

Mchezaji amepelekwa kamatini kwa kosa la kuwaonyeshea kidole cha kati watazamaji kama ishara ya matusi baada ya filimbi ya kumaliza mchezo ilipopigwa.kitendo hicho kilifanyika katika mchezo uliofanyika February 8, 2020 katika uwanja wa Namfua mjini Singida.
TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA PRISONS YANGA YAZIDI KULA ZA USO KUTOKA KAMATI YA MAADILI, IDADI PUNGUFU KIKAONI YAIBUA MSALA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply