Uncategorized

TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA PRISONS

admin February 14, 2020 3:37 pm

Mechi namba 205- Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons FC. Tanzania Prisons FC imepewa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike Februari 11, 2020.

Maamuzi hayo ni baada ya timu ya Ruvu Shooting FC ambayo ndiyo timu mwenyeji kushindwa kuleta gari la wagonjwa (Ambulance) uwanjani kama Kanuni ya 14 (2l) inavyosema na kusababisha mchezo kuvunjwa na mwamuzi baada ya kusubiri kwa dakika 30 bila gari hiyo kutokea.
ALIYEMPIGA TEKE MWAMUZI YAMKUTA, TFF YALA NAYE SAHANI MOJA KIDOLE CHA KATI CHAIBUA LISILOTARAJIWA KWA MCHEZAJI SINGIDA, TAMKO LATOKA TFF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply