Uncategorized

VPL : YANGA 0-0 PRISONS

admin February 15, 2020 5:07 pm


Mapumziko: Yanga 0-0 Tanzania Prisons 
Uwanja wa Taifa

Zimeongezwa dakika mbili
Dakika ya 44 Morrison anafanya jaribio kali linalompeleka chni mlinda mlango wa Prisons Jeremia Kisubi
Dakika ya 39 Prisons wanafanya jaribio linaokolewa na ShikaloDakika ya 37 Laurance Mpalile anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 32 Mkandala anafanya jaribio ambalo halizai matunda
Dakika ya 22 Juma Mkandala anaotea kwa Prisons
Dakika ya 15 Tshishimbi anapewa huduma ya kwanza, ndani ya kipindi hiki kila timu inafanya mashambulizi na kujilinda 
Dakika ya 10 Morrison anapiga kona ya kwanza inaokolewa
Dakika ya 9 Prisons wanafanya jaribio moja kali ila linakwenda nje
Dakika ya 8 Morrison anapiga shuti linakwenda nje jumla
Dakika ya 7 Moro anapeleka majalo mbele
Dakika ya 1 Morrison amecheza faulo akiwa ndani ya 18
Yanga iliyo chini ya Luc Eymael, imeanza kumenyana na Prisons Uwanja wa Taifa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Yanga ilishinda kwa bao 1-0 Uwanja wa Samora.

KOCHA YANGA ASHTUKA, AWABADILISHIA MBINU PRISONS MWAKYEMBE AWAONYA WATANZANIA KUHUSIANA NA SAMATTA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply