Meridianbet

Kila Mechi ni Fainali, Presha Yaongezeka Taji la Dunia

Vardo July 1, 2026 3:50 pm

Je leo hii nani kuaga kwenye mashindano haya makubwa Duniani yanayoendelea?. Timu za leo zitachuana vikali kuhakikisha zinafuzu kwenye nafasi ya 16 bora. Nani kusonga mbele?

Tutaanza na mechi ya Ubelgiji dhidi ya Senegal ambao ni mabingwa wa Afrika. Vijana hawa Pape Thiaw walimaliza hatua ya makundi kwa kupata pointi 3 pekee baada ya ushindi mnono walioupata kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Iraq.

Timu hiyo ya Ubelgiji wao kwenye Kundi la walimaliza nafasi ya kwanza baada ya kukusanya pointi 5 huku ikiwa ni timu ambayo ina wachezaji wenye uzoefu mkubwa kwenye mashindano haya wakiwemo kina De Bruyne, Lukaku, Trossard, Tielemans na wengine wengi. Lakini pia wachezaji amabo wapo kikosini hapo wana uwezo wa kutumia kasi kubwa, nguvu na kufanya mashambulizi ya hatari kuelekea golini kwa mpinzani.

Kwa upande wa Senegal wao ni timu yenye nguvu kubwa na inayojituma kwa kiwango cha juu. Wachezaji kama Sadio Mané, Ismaïla Sarr na Kalidou Koulibaly wanaipa timu hii nguvu katika maeneo yote ya uwanja. Senegal mara nyingi hutegemea mashambulizi ya kushtukiza na uwezo wa kutumia nafasi chache kufunga mabao.

Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno,, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwenye mechi hii Ubelgiji inatarajiwa kuwa timu ambayo itamiliki mpira kwa kiasi kikubwa huku vijana wa Thiaw wao wakijilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huku wewe ukiwa na nafasi ya kutengeneza pesa siku ya leo na Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa tandika jamvi siku ya leo na uondoke na mkwanja hapa. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya ushindani mkali, lakini Ubelgiji ina nafasi kidogo ya juu ya kupata ushindi dhidi ya Senegal, ingawa haitakuwa mechi rahisi hata kidogo.  

Pia siku ya leo tutashuhudia mechi ya kibabe nyingine kati ya Uingereza ambaye atakipiga dhidi ya DR Congo ambao walimaliza kundi lao kwenye nafasi ya 3 baada ya kukusanya pointi 4, huku vijana wa Tuchel wao wakiondoka na pointi 7 wakiwa vinara.

Huu ni mchezo ambao unatarajiwa kuwa wa kuvutia kwa timu zote mbili kutokana na mtindo wao wa uchezaji, lakini haswa viwango ambavyo wachezaji wa timu zote mbili walizoonesha kwenye mechi za hatua ya makundi. DR Congo ni moja ya timu bora sana kutoka Afrika kwani wana uwezo wa kujilinda vyema lakini pia nidhamu kubwa wakiwepo uwanjani.

Uingereza chini ya Thomas Tuchel wana kikosi cha wachezaji wenye ubora mkubwa kabisa ambapo kule Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo. Uwepo wa wachezaji kama Jude Bellingham, Harry Kane, Bukayo Saka, Gordon, Madueke na wengine wengi kunakifanya kikosi hiki kuwa timu penda ya kuondoka na ushindi.

Vilevile nao DR Congo pia wana wachezaji wenye ubora kama vile Wissa, Bakambu, Mayele, Masuaku, Wan-Bissaka na wengine wengi ambao kwa pamoja wanaweza wakapambani nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya michuano hii.

Kocha mkuu wa Congo Sebastien Desabre mpaka sasa atakuwa anajua ni mbinu gani atatumia dhidi ya timu hii ambayo ni mabingwa mara 1 wa Taji la Dunia. Je anni unampa nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora. Beti hapa.

Kawhi Leonard Arejea Raptors Baada Ya Clippers Kumuuza