Uncategorized

AZAM FC: MAPAMBANO BADO YANAENDELEA, AKILI ZETU SASA NAMUNGO

admin February 20, 2020 7:22 am


AGREY Morris, nahodha wa Azam FC amesema kuwa kushindwa kupata ushindi mbele ya Ndanda sio mwisho wa mapambano kwani bado wana mechi mkononi.

Azam FC jana, Februari 18 ilikubalili sare ya kufungana bao 1-1 na Ndanda kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

“Haina maana kushindwa kupata ushindi mbele ya Ndanda ni mwisho wa mapambano, bado kuna kazi ya kufanya ambayo inaendelea, mashabiki watupe sapoti.

“Mchezo wetu unaofuata dhidi ya Namungo tutapambana kupata matokeo mazuri,” amesema. 

Bao la Ndanda lilifungwa na Vitalis Mayanga dakika ya 10 na lile la Azam FC lilifungwa na Andrew Simchimba.

MADUDU YA LIGI DARAJA LA KWANZA YASIFUMBIWE MACHO, MFUMO WA PLAYOFF UBORESHWE MTIBWA SUGAR WAIBUKIA HUKU BAADA YA POINTI MOJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply