Uncategorized

YANGA YAPEPERUSHA POINTI SITA KATI 18 ILIZOKUWA IKISAKA, SARE TATU MFULULIZO

admin February 21, 2020 11:22 am


YANGA kwenye mechi zake sita hivi karibuni ambazo ni sawa na dakika 540 kwenye Ligi kuu Bara imeshinda mechi tatu na kulazimisha sare tatu.

Ndani ya dakika 540 imezigawa dakika 270 kwa kuvuna pointi tisa na zilizobaki mfululizo ikavuna pointi tatu.

Yanga kwenye mechi zake sita imekusanya jumla ya pointi 12 na kuzipeperusha pointi sita kati ya pointi 18 ilizokuwa inazitafuta.

Imefunga jumla ya mabao tisa na imefungwa mabao manne . Matokeo yao yalikuwa namna hii:-Singida 1-3 Yanga, Yanga 1-0 Mtibwa Sugar, Yanga 2-1 Lipuli, Ruvu Shooting 0-1 Yanga, Yanga 1-1 Mbeya City, Yanga 0-0 Prisons, Polisi Tanzania 1-1 Yanga.

Februari 23 itakuwa Uwanja wa Mkwakwani kumenyana na Coastal Union ya Tanga.

MOURINHO ABEBA MATUMAINI LIGI YA MABINGWA LICHA YA KICHAPO HIZI HAPA DAKIKA 270 ZA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUINGIA MIKONONI MWA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply