Uncategorized

MOURINHO ABEBA MATUMAINI LIGI YA MABINGWA LICHA YA KICHAPO

admin February 21, 2020 10:52 am


JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa bado wana nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 na RB Leipzing ikiwa nyumbani.

Mourinho amesema kuwa zipo timu ambazo zimewahi kufungwa mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na walisonga mbele.

“Kuna timu nyingi ambazo zimewahi kufungwa kwenye Ligi ya Mabingwa kwenye mechi za nyumbani, hakuna mashaka kwa mchezo wetu wa marudio tutapambana kufanya vizuri,” amesema.


SIMBA:TUPO TAYARI KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED YANGA YAPEPERUSHA POINTI SITA KATI 18 ILIZOKUWA IKISAKA, SARE TATU MFULULIZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply