Uncategorized

JIANGSU SUNING INAHAHA KUIPATA SAINI YA BALE ILI KUMPELEKA CHINA

admin February 22, 2020 2:41 pm

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Real Madrid wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la nyota wao Gareth Bale ili akajiunge na timu moja ya nchini China.

Jiangsu Suning inayoshiriki Super Ligi ya nchini China inahitaji saini ya mchezaji huyo.

Bale alijiunga na Real Madrid mwaka 2013 akitokea Tottenham Hotspurs kwa rekodi ya ada ya pauni milioni 83.7 imevuja kwamba anaweza kuondoka muda wowote.

AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA SPURS YACHAPWA NJE NDANI NA CHELSEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply