Uncategorized

AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA

admin February 22, 2020 1:11 pm


KLABU ya Azam FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuchelewa kutoka uwanjani hata Kamishna alipowaita walikaidi amri ya kutoka vyumbani na golikipa wa timu hiyo kuchelewa zaidi na alipofika uwanjani kushindwa kuwapa mikono timu pinzani (Coastal Union).

 Kwenye mchezo huo uliofanyika Februari 15, 2020 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Azam ilifungwa mabao 2-1.

Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 14(43) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

BREAKING:KIWIKO CHAMPELEKA MORRISON KAMATI YA NIDHAMU JIANGSU SUNING INAHAHA KUIPATA SAINI YA BALE ILI KUMPELEKA CHINA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply