Uncategorized

BREAKING:KIWIKO CHAMPELEKA MORRISON KAMATI YA NIDHAMU

admin February 22, 2020 12:41 pm


KIUNGO Mshambuliaji Bernard Morrison anayekipiga ndani ya Yanga  amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons FC Jeremia Juma.

Morrison alifanya hivyo wakati mpira ukiwa umesimama kwenye mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kugawana pointi moja na Prisons baada ya kuisha kwa sare ya bila kufungana.

KIKOSI CHA AZAM FC LEO KITAKACHOANZA DHIDI YA NAMUNGO AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply