Uncategorized

MDAMU: TUPO TAYARI KUPAMBANA MBELE YA MBAO FC

admin February 22, 2020 2:41 am


GERALD Mdamu, mshambuliji wa Mwadui FC amesema kuwa wachezaji wana morali ya kupambana mbele ya Mbao FC mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Mdamu ametupia jumla ya mabao manne ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mdamu amesema kuwa wachezaji wamekubaliana kupambana ili kupata matokeo mazuri yatakayowatoa kwenye nafasi ambayo wapo kwa sasa.

“Ligi imekuwa na ushindani mkubwa kwa sasa tumelitambua hilo, mbinu ambazo tumepewa na mwalimu tutazitumia na tutapambana ili kupata pointi tatu muhimu,” amesema.

Mwadui FC ipo nafasi ya 19 kwenye msimamo ikiwa na pointi 19 ilizojikusanyia kibindoni.

KAGERE, BOCC0 JANJA YAO YAGUNDULIWA NA BIASHARA UNITED KOCHA KMC AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUIVAA NDANDA FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply