Uncategorized

KOCHA KMC AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUIVAA NDANDA FC

admin February 22, 2020 2:41 am


HARUNA Harerimana, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wachezaji wake leo wanatakiwa kufuata malekezo yake mwanzo mwisho ili kushinda mbele ya Ndanda FC.

KMC ilikubali kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Namungo mchezo uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, leo watamenyana na Ndanda Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

“Wachezaji wangu wamekuwa na tatizo la kushindwa kufuata maelekezo kipindi cha kwanza jambo ambalo limefanya tuwe na kazi ya kuelekezana kipindi cha pili.

“Nimegundua kwamba tatizo lao ni kushindwa kuelewa na kufanya yale ambayo nimewaambia mwanzo na nina amini watarekebisha makosa yao,” amesema.

MDAMU: TUPO TAYARI KUPAMBANA MBELE YA MBAO FC MBELGIJI APIGA CHINI MAPROO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply