Uncategorized

TWIGA STARS YASHIKA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA UNAF

admin February 23, 2020 4:41 am

TIMU ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imekamata nafasi ya pili kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika Kaskazini (UNAF) yaliyokamilika jana nchini Tunisia.

 Mabingwa wa mashindano hayo ambayo yalihusisha mataifa matano ikiwa ni pamoja na Morocco, Mauritania, Algeria na wenyeji Tunisia ni nchi ya Morocco.

Michezo na matokeo ya Twiga Stars katika mashindano hayo yapo namna hii:-Tanzania (7-0) Mauritania
Algeria (2 -3) Tanzania
Tanzania (2-3) Morocco
Tunisia (1-1) Tanzania

KIUNGO LUIS ACHEKELEA KUTUPIA NDANI YA SIMBA, AHADI YAKE HII HAPA NYOTA HAWA WA KIGENI WATANO TU UHAKIKA KIKOSI CHA KWANZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply