Uncategorized

MSIMAMO WA AZAM FC HUU HAPA NDANI YA LIGI KUU

admin February 24, 2020 1:41 am


IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa timu bado haijakata tamaa itaendelea kupambana ili kufikia malengo yake.

Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema:”Mchezo wa mpira haupaswi kukata tamaa ni lazima kutazama makosa ambayo yanatokea na kuyafanyia kazi ili uwe bora.

“Ushindani ni mkubwa na wachezaji wanapambana licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi zetu zilizopita mbii bado tupo,”.

Azam FC nyanda za juu Kusini imeambulia pointi moja kati ya sita ilizokuwa inasaka, imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Ndanda FC na kufungwa bao 1-0 mbele ya Namungo FC.

PAMOJA NA KUMCHAKAZA WILDER KWA TKO, FURRY ALIKUWA AMEONGOZA RAUNDI ZOTE SABA KWA POINTI COASTAL UNION YASIMULIA ILIVYOIBANA YANGA MKWAKWANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply