Uncategorized

SIMBA KUIFUATA LEO STAND UNITED SHINYANGA

admin February 24, 2020 6:11 am


KIKOSI cha Simba leo kinatarajia kuanza safari kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa kesho, Februari 25 Uwanja wa CCM Kambarage.

Jana, Febuari 23 kikosi kilitia timu Mwanza na kufanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Stand United ambao ni wa hatua ya 16 bora wa Kombe la Shirikisho.

Simba ilitinga hatua hiyo baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya Mwadui FC  Uwanja wa Uhuru, Dar na bingwa mtetezi wa kombe hilo ni Azam FC.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa mgumu ila wanahitaji heshima.

COASTAL UNION: HAIKUWA BAHATI YETU KUSHINDA MBELE YA YANGA, TUNAJIPANGA YANGA: MPIRA SIO SAWA NA REDE, MASHABIKI WATUPE SAPOTI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply