Uncategorized

SIMBA KUFUMUA KIKOSI CHA KWANZA LEO MBELE YA STAND UNITED

admin February 25, 2020 2:44 am


UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo kwenye mchezo wao dhidi ya Stand United utafanya mabadiliko makubwa ya kikosi ili kuwapa nafasi wachezaji ambao walikuwa hawapati nafasi kucheza.

Simba itashuka Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga kumenyana na Stand United kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroeck amesema kuwa wanatambua kwamba wana mchezo mgumu ila watafanya mabadiliko makubwa ndani ya kikosi chao kitakachovaana na Stand United leo.

“Simba ina wachezaji wengi na hatuwezi kuwatumia wote 29 kwenye mechi moja ni lazima tuchague aina ya wachezaji ambao tunawahitaji, tutafanya mabadiliko kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Stand United,”.

SARE NNE ZAIBUA SABABU NYINGINE HUKO JANGWANI, UONGOZI WASEMA HILI NALO LINACHANGIA EDEN HAZARD MAJANGA JUU YA MAJANGA HUKO REAL MADRID

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply