Uncategorized

EDEN HAZARD MAJANGA JUU YA MAJANGA HUKO REAL MADRID

admin February 25, 2020 3:44 am


EDEN Hazard kiungo wa Real Madrid ataukosa mchezo dhidi ya Manchester City kesho ambao ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Hazard alipata majanga wakati timu yake ikipambana ndani ya La Liga mbele ya Levante.

Kwenye mchezo huo timu yake ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 naye pia alipata majanga ya kuumia.

Hazard nyota wa zamani wa Chelsea alirejea uwanjani baada ya kupita miezi mitatu jambo ambalo ni janga kwake na timu yake baada ya kuumia tena.

SIMBA KUFUMUA KIKOSI CHA KWANZA LEO MBELE YA STAND UNITED MEDDIE KAGERE ATAJA SABABU INAYOMPONZA ASHINDWE KUFUNGA KWENYE BAADHI YA MECHI BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply