Uncategorized

MORRISON APATA MADILI MAKUBWA MEZANI, SIMBA WAISHTUA YANGA

admin February 26, 2020 8:14 am

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga, Bernard Morrison amepata ofa mezani kutoka Afrika Kusini zikiwa na lengo la kuipata saini yake.

Morrison amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo amekuwa kwenye kiwango kizuri kwani amefunga mabao mawili akiwa na timu hiyo.

Morrison alitajwa pia kuingia anga za Simba ambao waliushtua uongozi wa Yanga na kufanya wakae chini ili waongeze mkataba na nyota huyo ambaye inaelezwa amesaini kandarasi ya miezi sita.

SAFU YA ULINZI YA SIMBA YATAFUTIWA DAWA NA SVEN ISHU YA KIONGOZI YANGA KUDAI KUIBIWA NA MASHABIKI WA COASTAL UNION IPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply