West Bromwich Albion dhidi ya Charlton Athletic Uso kwa uso Mechi ya Championship
Mechi ya raundi ya nne ya Championship itachezwa leo Jumatano, saa 21:45 usiku, katika uwanja wa The Hawthorns, mjini West Bromwich. West Brom watakuwa wenyeji wakikabiliana na Charlton Athletic, timu ambayo imeanza msimu huu kwa kasi ya kuvutia.
West bromwich walimaliza msimu uliopita na alama 51 (baada ya kutolewa alama kwa adhabu), wakishikilia nafasi ya 21 nafasi ya mwisho iliyoepusha kushuka daraja. Msimu huu wameanza vizuri kwa kuwashinda Norwich City ugenini na Burnley nyumbani, lakini hivi karibuni walipata pigo la kufungwa 1-3 dhidi ya Middlesbrough.
Katika EFL Cup, waliifunga Rotherham United mabao 4-1 kabla ya kuangushwa 2-3 na Newcastle United. Kwa ujumla, matokeo yao ya hivi karibuni katika mashindano yote yanaonyesha kushindwa mara mbili mfululizo, jambo linaloweza kuwa changamoto kabla ya mechi hii.
Timu West bromwich, iliyorejea Championship kutoka League One, ilimaliza msimu uliopita katika nafasi ya 19 ikiwa na alama 53 matokeo bora kuliko wapinzani wao wa leo. Msimu huu, Charlton wameanza kwa mtindo wa kuvutia zaidi walishinda dhidi ya Derby County, kisha West Ham United kwa bao 2-1, na Preston North End kwa bao moja tu bila kujibiwa. Katika EFL Cup walifanikiwa kuifunga Cheltenham Town kabla ya kupata pigo kubwa la mabao 1-5 dhidi ya Tottenham Hotspur.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Timu hizi mbili zina historia ndefu ya mashindano, zikiwa zimekutana zaidi ya mara 63 katika miaka yote, huku Charlton wakiwa na ushindi 22, West Brom ushindi 21, na mechi 20 zikiisha kwa sare ushahidi wa jinsi makabiliano haya yanavyokuwa sawa kila wakati.
Ingawa West Brom wananafsi kubwa ya ushindi kutokana na faida ya uwanja wa wanyumbani, ulinzi imara wa Charlton na mwanzo wao wa msimu wenye kasi zaidi unaonyesha kuwa hawapaswi kudharauliwa.