Uncategorized PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKISEPA KWENYE MAKAZI YAO YA ZAMANI admin February 26, 2020 12:44 pm HIZI hapa picha za baadhi wachezaji wa Yanga ambao wameonekana wakihama kutoka kwenye makazi yao ya zamani maeneo ya Kariakoo ili kusaka makazi mapya. Uongozi wa Yanga umeeleza kuwa unafuatilia ili kujua kinachoendelea.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.