Uncategorized

MASAU BWIRE YAMKUTA NAYE MAJANGA

admin February 27, 2020 10:14 am


 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa timu ya Ruvu Shooting amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya TFF kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kauli za maudhi kwa viongozi wa timu ya Polisi Tanzania FC.

Imeelezwa kuwa taarifa hizo alizitoa katika mchezo uliochezwa Februari 22, 2020 uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.

ABALORA KIKWAZO NAMBA MOJA KWA IHEFU KUTINGA ROBO FAINALI FA YANGA:TUMEANDAA SARE KWA AJILI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply