Uncategorized

YANGA:TUMEANDAA SARE KWA AJILI YA SIMBA

admin February 27, 2020 11:14 am


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo chanya mbele ya Simba kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Machi 8.

Mchezo wa kwanza ambapo Simba ilikuwa mwenyeji timu zote zilitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.

Antonio Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema kuwa wamejipanga kuona namna gani watapata matokeo chanya kwenye mchezo huo.

“Kila kitu kipo sawa kwani sare zimeandaliwa kwa ajili ya mchezo huo na kazi itakuwa moja tu kutafuta matokeo chanya na hilo linawezekana mashabiki watupe sapoti,” amesema.

MASAU BWIRE YAMKUTA NAYE MAJANGA JERRY MURO ATAJA SABABU YA KUMTAJA MKWASSA KUWA KOCHA BORA KULIKO MZUNGU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply