Uncategorized

HAO YANGA WANABALAA WAMCHAPA MTU NANE

admin February 28, 2020 5:18 am

LIGI Kuu ya Wanawake inazidi kuchanja mbunga ambapo kwa sasa ipo raudi ya 10.


Jana Februari 27, 2020 raundi ya 10 Ligi ya Wanawake iliendelea na timu 12 zilikuwa kazini.

Yanga Princes ilishusha kichapo kikubwa kuliko timu zote kwa kushinda mabao 8-1 ikafuatia na JKT Queens ambao ni mabingwa watetezi kwa kumchapa mtu mabao 7-0.

Matokeo yao yapo namna hii:-

JKT Queens 7-0 Kigoma Sisterz
Asha Rashid (3)
Fatuma Mustapha (3)
Annastazia Katunzi

Simba Queens 4-1 Alliance Girls
Asha Djafari
Oppa Clement
Mwanahamisi Omary (2)
Janeth Matulanga (Alliance)

Yanga Princess 8-1 Marsh Queens
Shelda Boniphace
Mwapewa Mtumwa (2)
Fatuma Bushir (2)
Grace Yusuph
Nasma Manduta
Amina Amini (Marsh)
Eliet Kulwa (amejifunga)

Ruvuma Queens 4-0 Tanzanite
Mariana Kenneth
Husna Mpanja
Amina Ramadhan
Diana Lucas

Mlandizi 2-1 TSC
Abinus Said (TSC)
Philomena Daniel
Fatuma Zaidi

Panama 0-3 Baobab
Mgeni kisoda
Jamila Rajabu
Diana Mnali

BAADA YA KUMALIZANA NA IHEFU MACHO YA AZAM FC YAPO HUKU HAJJI APEWA MIKOBA YA KUINUSURU MBAO KUSHUKA DARAJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply