Uncategorized

KOCHA WA SAMATTA AMPA KAZI NYINGINE YA KUFANYA, LEO KITAWAKA MBELE YA CITY

admin March 1, 2020 2:48 pm


DEAN Smith, Kocha Mkuu wa Aston Villa amesema kuwa ana imani na nyota wake mpya Mbwana Samatta atakuwa msaada kwenye kikosi hicho.

Leo Samatta ana kazi mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Kombe la Carabao utakaopigwa majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Wembeley.

Smith amesema:”Samatta ana vitu vingi alivyonavyo licha ya kuwa ni mpya na anaona namna ligi ya huku ilivyo, namtambua ana juhudi ila nimemwambia aongeze juhudi zaidi ya hapo,” .

Villa imetinga hatua ya fainali baada ya kuinyoosha kwa mabao 2-1 Leicester City na kupenya kwa ushindi wa mabao 3-2 kwani mchezo wa kwanza zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

KMC KWENYE KIBARUA KIZITO CHA KUFUTA UTEJA MBELE YA SIMBA, REKODI ZINAIBEBA SIMBA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply