Uncategorized

SIMBA YAIPOTEZA KCM KWA MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA, LUIS AFANYA YAKE

admin March 1, 2020 7:48 pm


LUIS Miquissone leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kupachika kimiani mabao mawili yote wakati wakiilaza KMC kwa mabao 2-0 Uwanja wa Taifa.

Mchezo wa leo,Machi Mosi ulikuwa na ushindani kwani dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa droo.

Mabao ya  Luis yamefungwa dakika ya 70 na 72 yanaifanya Simba ijikite kileleni ikiwa na point 64 imecheza mechi 25.

JESHI LA ASTON VILLA DHIDI YA MANCHESTER CITY, SAMATTA NDANI JURGEN KLOPP AIPA TANO WATFORD KWA KUMTIBULIA REKODI YAKE MAZIMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply