Uncategorized

BEKI AZAM FC APIGWA PINI MIAKA MITATU MAZIMA

admin March 6, 2020 3:35 am

BEKI chipukizi wa Azam FC Lusajo Mwaikenda makataba ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo mpaka mwaka 2023.

Hatua hiyo imekuja baada ya kupewa kandarasi mpya ya miaka mitatu na akakubali kusaini kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo.

Mkataba wa nyota huyo ulikuwa unameguka mwezi Septemba kwa kusaini dili hilo atabaki ndani ya Azam inayotumia Uwanja wa Azam Complex mpaka mwaka 2023.


Lusajo amepandishwa timu ya wakubwa msimu wa 2018/19 na sasa anakipiga timu ya wakubwa ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.


MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA YANGA YAITANGAZIA VITA JUMLAJUMLA SIMBA, MACHI 8 TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply