Uncategorized

BREAKING: BANDA ASIMAMISHWA MAZOEZI KISA HOFU YA CORONA

admin March 16, 2020 1:52 pm


Beki wa Highlands Park ya Afrika Kusini, Abdi Banda amesimamishwa mazoezi kwa hofu huenda anaweza kuwa na ugonjwa wa Corona.

Taarifa za kutoka Afrika Kusini zimeeleza kuwa Banda amelazimika kwenda kuchukuliwa vipimo baada ya kugundulika amekuwa anakohoa na ana mafua makali.


 “Wamesema pia ana mafua, hivyo amechukuliwa vipimo lakini kwanza ametakiwa kusimama mazoezi,” kilieleza chanzo.

Juhudi za kumpata Banda bado zinaendelea kufanyika lakini taarifa za kuchukuliwa vipimo tayari zimepatikana.


NI MWENDO WA NANENANE, WAKALI WAO HAPA MABOSI WA TIMU ZA LIGI KUU ENGLAND KUKUTANA ALHAMISI KUJADILI HATMA YAO KISA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply