Uncategorized

NI MWENDO WA NANENANE, WAKALI WAO HAPA

admin March 16, 2020 12:22 pm

DARUWESH Saliboko, Obrey Chirwa, David Molinga na Ayoub Lyanga wametupia mabao nanenane ndani ya Ligi Kuu Bara.

Chirwa ana hat trick mguuni aliwatungua Alliance kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Nyamagana wakati Azam FC ikishinda mabao 5-0.

Saliboko wa Lipuli ana hat trick pia aliwatungua Singida United wakati Lipuli ikishinda kwa mabao 5-1.

Molinga anakimbiza kwa mipira iliyokufa akiwa na mabao matatu ambapo amefunga kwa freekick mbili na penalti moja.

Lyanga mbali na kucheka na nyavu ni mtengeneza nafasi namba moja akiwa ametoa pasi saba za mabao ndani ya Ligi Kuu Bara.

LICHA YA KUCHEKA NA NYAVU WANA KUPA VITU VINGINE TOFAUTI NDANI YA UWANJA HAWA JAMAA BREAKING: BANDA ASIMAMISHWA MAZOEZI KISA HOFU YA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply