Uncategorized

MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA

admin March 17, 2020 4:42 pm
MABOSI wa Manchester United wamekubaliana na nyota wao Nemanja Matic ambaye ameongeza mkataba wake kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unameguka baada ya miezi mitatu msimu huu na amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuwa mwana familia.
Mkataba wake utameguka mwaka 2021 ambapo kwa sasa ataendelea kudumu ndani ya Klabu hiyo.
Mabosi wengi wa timu kutoka Inter Milan, Barcelona na Real Madrid walikuwa wakimtazama kwa karibu ili dili lake lingebuma angesajiliwa bure.
HAYA NDIYO MAISHA YAO NDANI YA SIMBA KWA SASA, REKODI ZIPO HIVI CHIRWA NDIO BABA LAO AZAM FC, CIOBA AKERWA NA UBUTU WA SAFU YAKE YA USHAMBULIAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply