Uncategorized

CHIRWA NDIO BABA LAO AZAM FC, CIOBA AKERWA NA UBUTU WA SAFU YAKE YA USHAMBULIAJI

admin March 17, 2020 5:42 pm

OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC ndiye mcheka nyavu anayewakimbiza wote ndani ya klabu hiyo kwa kutupia mabao.

Azam FC ikiwa imefunga mabao 37 yeye amefunga mabao nane huku kinara wa kutupia akiwa ni Meddie Kagere wa Simba mwenye mabao 19.



Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba amesema kuwa bado kasi ya washambuliaji wake haimfurahishi kwani wanakosa nafasi nyingi za wazi jambo linalimpasua kichwa.

Azam FC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi zake 54 kibindoni baada ya kucheza mechi 28.

MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA HATA YA NYOTA SITA WA SIMBA MIKONONI MWA MBELGIJI, WAWILI HATIHATI KUPIGWA CHINI MAZIMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply