Uncategorized

HAYA NDIYO MAISHA YAO NDANI YA SIMBA KWA SASA, REKODI ZIPO HIVI

admin March 17, 2020 4:42 pm


NYOTA wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, kushoto ni Haruna Shamte yeye amesajiliwa na kikosi hicho akitokea Klau ya Lipuli.

Simba ikiwa imecheza mechi 28 yeye amecheza mechi 11 tu za Ligi Kuu Bara.

Ibrahim Ajibu kinara wa kutupia pasi kwa msimu uliopita wa 2018/19 akiwa Yanga alitupia jumla ya pasi 17 na alifunga mabao sita kwa sasa ana bao moja na pasi nne akiwa ndani ya Simba.

Beno Kakolanya yeye ni mlinda mlango namba mbili alikuwa namba moja ndani ya Yanga kwa sasa maisha yake yanaendelea Msimbazi.

Yusuph Mlipili beki mzawa maisha yake bado yanaendelea Msimbazi lakini uwanjani ni adimu sawa na Said Ndemla ambaye aligomea kuibukia Singida United.

UEFA YASIMAMISHWA MPAKA 2021 MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply