Uncategorized

SABABU YA MBEYA CITY KUWA NAFASI YA 17 HII HAPA

admin March 21, 2020 9:31 pm


MBEYA City iliyo nafasi ya 17 kwenye msimamo na pointi zake 30 kibindoni ipo chini ya Kocha Mkuu Amri Said.

Timu hiyo imetupia jumla ya mabao mabao 22 na kinara wa kutupia ndani ya klabu hiyo anaitwa Peter Mapunda.

Imecheza mechi 29 na kupoteza mechi 13, saba imeshinda na sare tisa ndani ya Ligi Kuu Bara.


Kocha huyo amesema kuwa sababu kubwa ya matokeo ya klabu hiyo ni wachezaji wake kushindwa kumalizia nafasi ambazo wanazipata.

MBELGIJI WA YANGA AOMBA MUDA KUKIJENGA KIKOSI KIWE BORA ZAIDI HAWA HAPA WAMESEPA NA TUZO ZA LIGI KUU BARA 2019/20, WAZUNGU WOTE WA SIMBA NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply