Habari za Michezo leo
Uncategorized

ALLIANCE FC YAMUWEKA PEMBENI KOCHA MKUU MINZIRO

admin March 22, 2020 1:31 pm


UONGOZI wa Alliance FC umesema kuwa umeamua kumuweka pembeni kwa muda Kocha Mkuu wa timu hiyo Felix Minziro ili kutibu majeraha yake ya mguu aliyoyapata.

Alliance FC ya Mwanza ipo nafasi ya 18 kwenye msimamo ikiwa na pointi 29 baada ya kucheza mechi 29 za Ligi Kuu Bara.

Yusuph Budodi, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi wa Alliance amesema kuwa wameamua kumpa mapumziko Minziro.

“Tumeamua kumpa mapumziko Kocha Mkuu Minziro kutokana na kuumia mguu wa kulia alipopata ajali atakapokuwa vizuri atarejea kuendelea na kazi,” amesema.

ISHU YA BEKI WA AZAM FC MORRIS KUJIUNGA NA SIMBA IPO NAMNA HII WAWILI, BABA NA MWANA NDANI YA AC MILAN WAGUNDULIKA NA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply