Uncategorized

KOCHA TANZANIA PRISONS: TUZIDISHE DUA TUTOKE KWENYE JANGA LA CORONA

admin April 3, 2020 3:14 pm


ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa kwa wakati huu tuliopo ni muhimu kwa watanzania kuzidisha dua ili nchi itoke kwenye janga hili la Corona na dunia nzima kiujumla.

Kwa sasa Ligi Kuu nyingi duniani zimesimamishwa kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo wataalamu wanaeleza kuwa vinaenea kwa njia ya hewa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Rishard amesema kuwa ni wakati wa kuungana kwa watanzania wote kufanya dua ili nchi ipone.

“Muhimu kwa kila mmoja kufanya dua na kuungana kwa pamoja kupambana na Virusi vya Corona kwani hili ni janga la dunia kiujumla hivyo ni muhimu tukiungana,” amesema.

PACHA YA BOCCO NA KAGERE ILIANZA KUNOGA MHARIRI WA MAGAZETI YA GLOBAL GROUP AWASHUKURU WALIOMTAKIA MEMA SIKU YA KUMBUKIZI YAKE YA KUZALIWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply