Uncategorized

RONALDINHO AMTAJA ANAYEMKUBALI KATI YA MESSI NA CR 7

admin April 4, 2020 8:02 am


RONALDINHO de Assis Moreira nyota wa zamani wa timu ya Brazil anaamini kuwa kati ya Cr 7 na Messi bora Messi.

Nyota huyo alikuwa na mchango mkubwa kwa Lionel Messi kuingia kikosi cha kwanza ndani ya Barcelona.

Messi alibeba majukumu ya Ronaldinho aliposepa ndani ya Klabu ya Barcelona ikiwa ni pamoja na jezi namba 10.

“Messi ningependa kucheza karibu yake sikupata muda mrefu wa kucheza naye, hakuna mwingine ambaye ni bora zaidi yake kwenye dunia hakuna ambaye amefanya kile kilichofanywa na Messi.

 “Yule mwingine (Cr 7) amekamilika vyote muhimu anavyo kwenye Soka lakini ukiniambia nichague nitamchagua Messi,”.

SABABU YA MNATA KUTUA YANGA HII HAPA KAGERE: WANANIITA MZEE ILA NINAWAFUNGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply