Uncategorized

NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA

admin April 8, 2020 9:36 pm

KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri.
 Mastaa hao ni pamoja na Patrick Cutrone, German Pezzella na Dusan Vlahovic awali walibaini kupata virusi vya Corona ndani ya kikosi cha timu hiyo.
 Fiorentina  ilisema: “ Tunachukua nafasi hii kuwashukuru  madaktari, manesi na hospitali zote ambazo walihusika kutibu wachezaji na ambao wanaendelea kutibu watu wengine  kwa kazi nzuri.
MABOSI COASTAL UNION WAMRUHUSU NONDO KUTIMKIA SIMBA WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply