Uncategorized

WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU

admin April 8, 2020 9:36 pm

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Simba kabla ya kuvunja kambi walifanyiwa vipimo vya uzito hivyo atakayeongezeka kilo ghafla hatua itachukuliwa.

Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kambi za timu kuvunjwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Serikali ilizuia mikusanyiko isiyo ya lazima.

Matola amesema:”Tunatambua kwamba kwa mazingira ambayo tupo itakuwa ngumu kuwadhibiti wachezaji kwa upande wa vyakula ila tuliwapima uzito hilo lipo kwenye rekodi.

“Mchezaji ambaye ataonekana ameongezeka kilo ghafla itakuwa ni rahisi kutambua kwamba hakufuata program aliyopewa hivyo hatua juu yake itachukuliwa,” .

NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA VIDEO:SIMBA YAFUNGUKA NAMNA HII KUHUSU ISHU YA KUSAJILIWA TSHISHIMBI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply