Uncategorized

KIUNGO HUYU WA SIMBA PANGA LINAMHUSU MAZIMA

admin April 10, 2020 1:06 pm


SAID Ndemla, nyota wa Simba yupo kwenye hatihati ya kuachwa na mabosi wake hao kutokana na kushindwa kufurukuta ndani ya klabu hiyo kwa sasa.

Ndemla amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu ambapo Simba ikiwa imecheza mechi 28 amecheza mechi tatu za Ligi Kuu Bara.

Simba ikiwa imetumia dakika 2,520 ametumia dakika 270 kuonyesha makeke yake.

Habari zinaeleza kuwa kwa sasa Simba ipo kwenye mpango wa kuachana na nyota huyo ambapo klabu inayotajwa kumchukua ni JKT Tanzania.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Maziginza amesema kuwa suala la kuwaacha wachezaji kwa sasa bado haliwezwi kuwekwa wazi mpaka pale ligi itakapokamilika. 

MANARA: CORONA IMETIBUA DILI LA WAZUNGU KUJA BONGO HIMID MABO: BADO NINAPIGA MAZOEZI NDANI, KIKUBWA DUA TUWE SALAMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply