Uncategorized

SIMBA YAPANIA KUMCHOMOA BEKI MMOJA POLISI TANZANIA

admin April 10, 2020 5:06 pm

IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya beki mpambanaji ndani ya Polisi Tanzania, Idd Mobby.

Mobby ambaye ni nahodha pia wa Polisi Tanzania amewakuwa kwenye ubora wake msimu huu jambo lililowavutia mabosi wa Simba ambao wanapanga kuboresha kikosi chao kwa sasa.
Nyota huyo mzawa amewahi kukipiga pia ndani ya Toto Africans na Mwadui FC.
Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Frank Lukwaro amesema kuwa kwa sasa hawajapata taarifa yoyote kuhusu Mobby hivyo hawezi kuzungumza jambo.
KAZI IMEANZA, AZAM FC SASA KUSHUSHA MASHINE ZA KAZI NNE KOCHA LIGI KUU AHOFIA WACHEZAJI KUSHUKA VIWANGO LIGI IKIREJEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply