Uncategorized

KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

admin April 12, 2020 9:06 am


UONGOZI wa KMC umesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mambo mengi yamesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo ni busara kila mmoja kuchukua tahadhari

“Kwa sasa mambo mengi yamesimama hivyo kwa wale ambao watakuwa hawachukui tahadhari ni busara iwapo wataamua kuchukua tahadhari.


“Kinachotakiwa ni kila mmoja kujali na kuchukua tahadhari kwani  Virusi vya Corona vipo,” amesema.


KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KUTOELEWANA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI KUHUSU KUTUA SIMBA..MENEJA WA MWANYETO AMEFUNGUKA HAYA..!!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply