Uncategorized

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KUTOELEWANA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI

admin April 12, 2020 9:06 am


SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema haikuwa rahisi kufanya kazi na benchi la ufundi kutokana na kutozeana.

Sven alipoanza kazi ililipotiwa kuwa hakuwa na maelewano mazuri na Kocha Msaidizi, Seleman Matola jambo ambalo liliamuliwa na uongozi ili kumaliza tofauti zao.

Kocha huyo amesema kuwa ilikuwa ngumu kufanya kazi na  benchi la ufundi mwanzoni ila kwa sasa tayari wamezoeana na maisha yanaendelea.

” Haikuwa kazi rahisi kufanya nao kazi pale mwanzo  lakini ukiliangalia sasa utaona tunashirikiana sana na kila kitu kinakwenda vizuri,” amesema.

YANGA YAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA KUBORESHA KIKOSI CHAO KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply